sw_jer_text_reg/46/23.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 23 Wataangusha misitu - japokuwa ni mingi sana - hili ni tamko la Yahwe. Kwa maana adui watakuwa wengi kuliko nzige, wasiohesabika. \v 24 Binti Misri ataaibishwa. Atawekwa mkononi mwa watu kutoka kaskazini."