sw_jer_text_reg/28/05.txt

1 line
407 B
Plaintext

\v 5 Kwa hiyo Yeremia nabii akasema kwa Hanania nabii mbele ya makuhani na kwa watu wote waliosimama katika nyumba ya Yahwe. \v 6 Yeremia nabii akasema, "na iwe hivyo! Yahwe ayathibitishe maneno ambayo ulitabiri na kuvirudisha katika sehemu hii vyombo vya nyumba ya Yahwe, na mateka wote kutoka Babeli. \v 7 Vile vile, sikilizeni neno ambalo ninalitangaza katika masikio yenu na katika masikio ya watu wote.