sw_jer_text_reg/33/23.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 23 Neno la Mungu likaja kwa Yeremia, likisema, \v 24 Hamkuzingatia walichotangaza watu hawa waliposema, 'Zile Familia mbili ambazo Yahwe alizichagua, sasa amezikataa'? Kwa jinsi hii hii waliwapuuza watu wangu, wakisema kwamba si taifa tena katika macho yao.