sw_jer_text_reg/33/01.txt

1 line
297 B
Plaintext

\c 33 \v 1 Kisha neno la Yahwe likaja kwa Yeremia mara ya pili, alipokuwa bado amefungwa ndani ya uwanja wa walinzi, likisema, \v 2 Yahwe muumbaji, anasema hivi—Yahwe, aumbaye ili athibitishe—Yahwe ndilo jina lake, \v 3 'Niite, na nitakuitika, nitakuelezea mambo makuu, siri ambazo huzielewi.'