sw_jer_text_reg/31/08.txt

1 line
497 B
Plaintext

\v 8 Ona, niko karibu kuwaleta kutoka nchi za kaskazini. Nitawakusanya kutoka sehemu za mbali za dunia. Vipofu na wenye ulemavu watakuwa katikati yao; wanawake wajawazito na wale waliokaribu kujifungua watakuwa pamoja nao. Kusanyiko kubwa litarudi hapa. \v 9 Watakuja kwa kuomboleza; nitawaongoza huku wakifanya maombi yao. Nitawafanya wasafiri katika mikondo ya maji katika bara bara ilinyoka. Hawatajikwaa juu yake, kwa maana nitakuwa baba kwa Israeli, na Efraimu atakuwa mzaliwa wangu wa kwanza