sw_jer_text_reg/31/04.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 4 Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa, bikra wa Israeli. Utachukua tena matari zako na kwenda nje kwa ngoma za furaha. \v 5 Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria; wakulima watapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri. \v 6 Kwa maana siku itakuja wakati walinzi watakapotangaza katika milima ya Efraimu, 'Inuka, twendeni juu kwenye mlima wa Yahwe Mungu wetu.'