sw_jer_text_reg/25/37.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 37 Kwa hiyo, malisho ya amani yataharibiwa kwa sababu ya hasira ya Bwana. \v 38 Kama simba, ameacha shimo lake, kwa kuwa ardhi yao itakuwa kitu cha kushangaza kwa sababu ya hasira ya muonevu, kwa sababu ya ghadhabu yake kali'"