sw_jer_text_reg/25/15.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 15 Kwa kuwa Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Chukua kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma. \v 16 Kwa maana watakunywa na kisha watalewa na kufanya wazimu mbele ya upanga ambao nitaupeleka kati yao."