sw_jer_text_reg/46/13.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikike katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi. Chukua kituo chako na jiweke imara, kwa maana upanga utakula wote kati yenu.