sw_jer_text_reg/09/17.txt

6 lines
576 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 17 BWANA wa majeshi asema hivi, "Yafikirini haya: Waiteni waliaji; waje. Tumeni wanawake wenye taaluma ya kuomboleza, waje. \v 18 Waje haraka waimbe wimbo wa maombolezo juu yetu, ili macho yetu yatokwe na machozi na kope zetu zibubujikwe na maji.
=======
\v 17 Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Yafikirini haya: Waiteni waliaji; waje. Tumeni wanawake wenye taaluma ya kuomboleza, waje. \v 18 Waje haraka waimbe wimbo wa maombolezo juu yetu, ili macho yetu yatokwe na machozi na kope zetu zibubujikwe na maji.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113