sw_jer_text_reg/01/09.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 9 Kisha BWANA akanyosha mkono wake, akagusa kinywa changu, na akaniambia, "Nimeweka maneno yangu kinywani mwako. \v 10 Nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya wafalme, ili kung'oa na kuvunja, kuharibu na kutupa, kujenga na kupanda."