1 line
310 B
Plaintext
1 line
310 B
Plaintext
\v 5 Maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, na Yahwe wa majeshi, japokuwa nchi yao imejazwa na maasi yaliyotendwa dhidi ya aliye Mtakatifu pekee wa Israeli. \v 6 Kimbieni kutoka Babeli; kila mtu na ajiokoe mwenyewe. Msiangamie katika maasi yake. Maana ni wakati wa kisasi cha Yahwe. Atamlipa kwa yote. |