6 lines
590 B
Plaintext
6 lines
590 B
Plaintext
<<<<<<< HEAD
|
|
\v 1 Neno kutoka kwa Yahwe likamjia Yeremia katika siku za Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, kusema, \v 2 "Nenda kwenye familia ya Warekabi na zungumza nao. Kisha uwalete kwenye nyumba yangu, mle ndani ya moyawapo ya vyumba, na uwape divai wanywe."
|
|
=======
|
|
\c 35 \v 1 Neno kutoka kwa Yahwe likamjia Yeremia katika siku za Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, kusema, \v 2 "Nenda kwenye familia ya Warekabi na zungumza nao. Kisha uwalete kwenye nyumba yangu, mle ndani ya mojawapo ya vyumba, na uwape divai wanywe."
|
|
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|