sw_jer_text_reg/51/38.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 38 Wababeli wataunguruma kwa pamoja kama wanasimba. Watanguruma kama watoto wa simba. \v 39 Wanapopashwa moto kwa hasira, nitawafanyia sherehe; nitawalewesha hata wafurahi, na kisha kulala usingizi usio na mwisho hata wasiamke - hili ni tamko la Yahwe - \v 40 Nitawapeleka chini kama wanakondoo kwa mchinjaji, kama kondoo ndume pamoja na mbuzi majike.