sw_jer_text_reg/41/17.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 17 Kisha walienda na kubaki kwa muda huko Geruthi Kimhamu, ambayo iko karibu Bethlehemu. Walikuwa wakienda Misri \v 18 kwa sababu ya Wakalidayo. Walikuwa wakiwaogopa kwani Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amemua Gedalia mwana wa Ahikamu, ambaye mfamle wa Babeli amewekwa kwenye usimamizi wa nchi.