1 line
418 B
Plaintext
1 line
418 B
Plaintext
\c 40 \v 1 neno lilimjia Yeremia toka kwa Yahwe baada ya Nebuzaradani, kamanda wa walinzi wa mfalme, amemtuma mbali kutoka Ramah. Huko ndiko Yeremia alikuwa amechukuliwa, na huko alikuwa amefungwa kwa minyororo. Alikuwa miongoni mwa mateka wote ya Yerusalemu na Yuda ambayo walipaswa kuwa matekani Babeli. \v 2 Mlinzi mkuu alimchukua Yeremia na kusema kwake, "Yahwe Mungu wako aliamrisha maafa haya dhidi ya eneo hili. |