1 line
394 B
Plaintext
1 line
394 B
Plaintext
\v 7 Nimeiacha nyumba yangu; Nimeacha urithi wangu. Nimewatia watu wangu wapendwa mikononi mwa adui zake. \v 8 Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba katika tundu; yeye hujiweka juu yangu kwa sauti yake mwenyewe, hivyo nimemchukia. \v 9 Malipo yangu ya thamani haijakuwa ndege wenye madoadoa karibu na kichwa chake? Nenda, ukakusanye viumbe vyote vilivyomo katika mashamba, na uwalete ili wale. |