sw_jer_text_reg/12/03.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 3 Lakini wewe mwenyewe unanijua, Bwana. Umeniona mimi na kuchunguza moyo wangu. Waondoe kama kondoo wa kuchinjwa. Ukawaweke tayari kwa siku ya kuchinjwa. \v 4 Je! Nchi itakauka kwa muda gani, na mimea katika kila shamba itaota? kwa sababu ya uovu wa wenyeji wake wanyama na ndege wameondolewa. Hakika, watu wanasema, "Mungu hajui nini kitatokea kwetu."