sw_jer_text_reg/12/01.txt

1 line
339 B
Plaintext

\c 12 \v 1 Wewe ni mwenye haki, Bwana, wakati wowote ninapoleta mashtaka kwako. Lazima nikuambie sababu yangu ya kulalamika: Kwa nini njia za waovu hufanikiwa? Watu wote wasiokuwa na imani wanafanikiwa. \v 2 Wewe uliwapanda nao wakawa na mizizi. Wanaendelea kuzaa matunda. Wewe upo karibu nao katika vinywa vyao, lakini mbali na mioyo yao.