sw_jer_text_reg/10/17.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 17 Kusanya vitu vyako na uiache nchi, wewe ambaye umekuwa ukiishi katika mazingirwa haya. \v 18 Kwa kuwa Bwana asema hivi, "Tazama, Ni tayari kuwatupa wakazi wa nchi nje wakati huu. Nitawasababishia huzuni, na itakuwa hivyo."