sw_jer_text_reg/10/01.txt

1 line
207 B
Plaintext

\c 10 \v 1 "Sikilizeni neno ambalo Bwana anawaambieni, enyi nyumba ya Israeli. \v 2 Bwana asema hivi, 'msijifunze njia za mataifa, na msishangazwe na ishara za mbinguni, kwa kuwa mataifa hushangazwa na haya.