sw_jer_text_reg/05/10.txt

1 line
452 B
Plaintext

\v 10 Nenda hadi kwenye kuta za shamba lake la mizabibu na ziharibuni. Lakini wao msiwaharibu kabisa. Ondoeni matawi kwa sababu hayatoki kwa Bwana. \v 11 Kwa sababu nyumba ya Yuda na Israeli wamenisaliti kabisa - asema BWANA - \v 12 Wamenena uongo juu ya Mungu wanasema, ''Yeye si halisi. Maovu hayawezi kutupata, wala hatutaona upanga wala njaa. \v 13 Kwa kuwa manabii wamekuwa kama upepo, neno haliko ndani yao, vitisho vyao na vijie wao wenyewe."'