\v 26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika mitaa yake na askari wake wote watateketea siku hiyo - hili ni tamko la Yahwe wa majeshi." \v 27 "Maana nitawasha moto katika kuta za Dameski, nami nitazivunja ngome za Beni Hadadi."