1 line
384 B
Plaintext
1 line
384 B
Plaintext
\c 30 \v 1 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Yahwe likisema, \v 2 "Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema, 'Andika kwa kitabu maneno yote niliyonena kwako. \v 3 Maana tazama, siku zaja—hili ni tangazo la Yahwe—nitakapowarudisha mateka wa watu wangu Israeli na Yuda. Mimi, Yahwe, nimesema hili. Kwa maana nitawarudisha kwenye nchi ambayo niliwapa babu zao, na wataimiliki."' |