sw_jer_text_reg/28/15.txt

6 lines
743 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 15 Kisha nabii Yeremia akamwambia Hanania nabii, "Sikiliza Hanania! Yahwe hajakutuma, bali wewe mwenyewe umewasababisha watu hawa kuamini katika uongo. \v 16 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kukutuma nje ya dunia. Mwaka huu utakufa." \v 17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, Hanania nabii akafa.
=======
\v 15 Kisha nabii Yeremia akamwambia Hanania nabii, "Sikiliza Hanania! Yahwe hajakutuma, bali wewe mwenyewe umewasababisha watu hawa kuamini uongo. \v 16 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kukuondoa duniani. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya Bwana " \v 17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, Hanania nabii akafa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113