sw_jer_text_reg/37/16.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 16 Kwa hiyo Yeremia alikuwa amewekwa kwenye kifungo cha chini, ambako alikuwa huko kwa siku nyingi. \v 17 Kisha mfalme Sedekia alimtuma mtu mmoja aliyemleta kwenye ikulu. Kwenye nyumba yake, mfalme alimuuliza binafsi, "Kuna neno: Utatiwa kwenye mkono wa mfalme wa Babeli."