sw_jer_text_reg/28/15.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 15 Kisha nabii Yeremia akamwambia Hanania nabii, "Sikiliza Hanania! Yahwe hajakutuma, bali wewe mwenyewe umewasababisha watu hawa kuamini uongo. \v 16 Kwa hiyo Yahwe anasema hivi: Angalia, niko karibu kukuondoa duniani. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya Bwana " \v 17 Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, Hanania nabii akafa.