sw_jer_text_reg/44/29.txt

1 line
466 B
Plaintext

\v 29 Hii itakuwa ishara kwenu-- hili ni tamko la Yahwe--kwamba ninaiweka dhidi yenu katika eneo hili, kiasi cha kujua kwamba maneno yangu hakika yatawavamia pamoja na maafa. \v 30 Yahwe asema hivi, 'Tazama, ninakaribia kumtia Farao Hofra mfalme wa Misri kwenye mkono wa adui zake na kwenye mkono wa wale wanaotafuta kumuua. Itakuwa sawa kama wakati nilimpa Sedekia mfalme wa Yuda kuwa kwenye mkono wa Nebukadreza mfalme wa Babeli, adui wake aliyetafuta maisha yake.