sw_jer_text_reg/44/24.txt

1 line
415 B
Plaintext

\v 24 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote na wanawake wote, " Sikia neno la Yahwe, Yuda yote ambao wamo katika nchi ya Misri. \v 25 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, Wewe na wake zako wote mmesema kwa vinywa vyenu na kubeba kwa mikono yenu kile mlichosema, " Hakika tutabeba viapo ambavyo tulifanya kumwabudu Malkia wa Mbinguni, kumwanga kinywaji cha sadaka kwake." Sasa timiza viapo vyenu, mkavibebe."