sw_jer_text_reg/49/09.txt

1 line
378 B
Plaintext

\v 9 Ikiwa wavunaji wa zabibu walikuja kwako, je wasinge acha kidogo? Ikiwa wezi walikuja usiku, je wasingeiba kiasi walichotaka? \v 10 Lakini nimempiga Esau kwa ukiwa. Nimefunua maficho yao. Hivyo hataweza kujificha mwenyewe. Watoto wake, ndugu zake, na jirani zake wameharibiwa, wamepotea. \v 11 Acha nyuma yatima wako. Nitachukua uhai wao, na wajane wako wanaweza kuniamini."