1 line
351 B
Plaintext
1 line
351 B
Plaintext
\v 20 Kisha Yeremia alisema kwa watu wote-- kwa wanaume na wanawake, na watu wote waliomjibu yeye-- alihubiri na kusema, \v 21 "Je Yahwe hakukumbuka ubani ambao mliuchoma kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalem-- wewe na mababu zenu, wafalme wenu na viongozi, na watu wa nchi? Kwa kuwa Yahwe anakumbuka hili kwenye akili; inakuja kwenye mawazo yake. |