sw_jer_text_reg/44/18.txt

1 line
457 B
Plaintext

\v 18 Tulipojiepusha kufanya mambo haya, kutotoa sadaka ya ubani kwa malkia wa mbingu na kutomwanga kinywaji cha sadaka kwake, tulikuwa wote tunateswa na umaskini na tulikuwa tunakufa kwa upanga na njaa." \v 19 Wanawake walisema, "Wakati tulipokuwa tunatengeneza ubani wa sadaka mbele ya malkia wa mbingu na kumwaga kinywaji cha sadaka kwake, ilikuwa ni kinyume dhidi ya waume zetu kwa kutengeneza keki kwa sura yake na kumwanga sadaka ya kinywaji kwake?"