sw_jer_text_reg/44/11.txt

1 line
484 B
Plaintext

\v 11 Kwa hiyo sasa Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi, "Ona, Nimekaribia kuweka uso wangu dhidi yenu kuleta maafa kwenu na kuiharibu Yuda yote. \v 12 Kwa kuwa nitachukua mabaki wa Yuda ambaye ameanza safari kwenda nchi ya Misri kuishi huko. Nitafanya hivi ili kwamba wapatekuangamia wote katika nchi ya Misri. Wataanguka kwa upanga na njaa. Kutoka kwa wadogo hadi kwa wakubwa wataangamia kwa upanga na njaa. Watakufa na watakuwa laana, kitu cha shutuma--laana na matukano.