sw_jer_text_reg/44/07.txt

1 line
522 B
Plaintext

\v 7 Basi sasa Yahwe, Mungu wa majeshi na Mungu wa Israel, asema hivi, "Kwanini mnafanya maovu makubwa dhidi yenu? Kwanini mnasababisha ninyi wenyewe kujitenga kutoka miongoni mwa Yuda -- wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao? Hakuna mabaki yenu yatakayobaki. \v 8 Kwa maovu yenu mmenichokoza pamoja na matendo ya mikono yenu, kwa kuchoma ubani kwa miungu mingine kwenye nchi ya Misri, ambapo mmekwenda kuishi. Mmeenda huko ili kwamba mkaangamizwe, ili kwamba mtalaaniwe na mashutumu miongoni mwa mataifa yote ya dunia.