sw_jer_text_reg/44/04.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 4 Basi nimerudia kila mara kuwatuma wote watumishi wangu manabii kwao. Niliwatuma wao kusema, 'Acha kufanya hivi vitu machukizo ambayo nachukia. \v 5 Lakini walikataa kuwa makini au kugeuka kwa kuacha maovu ya kuchoma ubani kwa miungu mingine. \v 6 Basi hasira yangu na gadhabu yangu zilimwangwa na kuwasha moto kwenye miji ya Yuda na mitaa ya Yerusalemu. Basi waliharibiwa na kuteketezwa, kama ilivyo katika siku ya leo."