sw_jer_text_reg/41/17.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 17 Kisha walienda na kubaki kwa muda huko Geruthi Kimhamu, ambayo iko karibu Bethelemu. Walikuwa wanaenda kwenda Misri \v 18 kwa sababu ya Wakaldayo. Walikuwa wakiwaogopa kwani Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amemua Gedalia mwana wa Ahikamu, ambaye mfamle wa Babeli alimwekwa kwenye usimamizi wa nchi.