sw_jer_text_reg/41/13.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 13 Kisha ilitokea kwamba wakati watu wote ambao walikuwa na Ishmaeli kuona Yohanani mwana wa Karea na makamanda wote wa jeshi ambao walikuwa pamoja naye, walikuwa na furaha sana. \v 14 Basi watu wote ambao Ishmaeli alikuwa amewashika huko Mizpa waligeuka na kwenda kwa Yohanani mwana wa Karea.