sw_jer_text_reg/41/11.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 11 Lakini Yohanani mwana wa Karea na amri wote wa jeshi pamoja naye walisikia madhara yote ambayo Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amefanya. \v 12 Basi waliwachukua wanaume wao na kwenda kupigana dhidi ya Ishmaneli mwana wa Nethania. Walimkuta huko kwenye kisima kikuu cha Gibeoni.