sw_jer_text_reg/40/01.txt

1 line
432 B
Plaintext

\v 1 Hili lilikuwa neno ambalo lilikuja kwa Yeremia toka kwa Yahwe baada ya Nebuzaradni, amri wa walinzi wa mfalme, amemtuma mbali kutoka Ramah. Huko ndiko Yeremia alikuwa amechukuliwa, na huko alikuwa amefungwa kwa minyororo. Alikuwa miongoni mwa mateka wote ya Yerusalem na Yuda ambayo walipaswa kuwa matekani Babeli. \v 2 Mlinzi mkuu alimchukua Yeremia na kusema kwake, "Yahwe Mungu wako aliamrisha maafa haya dhidi ya eneo hili.