sw_jer_text_reg/29/15.txt

1 line
423 B
Plaintext

\v 15 Tangu mliposema kwamba Yahwe ameinua manabii kwa ajili yetu katika Babeli, \v 16 Yahwe anasema hivi kwa mfalme aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi na watu wote wakaao katika mji huo, ndugu zenu ambao hawakwenda pamoja nanyi utumwani— \v 17 Yahwe wa majeshi anasema hivi, ''Ona, niko karibu kutuma upanga, njaa, na ugonjwa juu yao. Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa.