sw_jer_text_reg/22/27.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 27 Na kuhusu eneo hili ambalo watataka kurudi, hawatarudi hapa. \v 28 Je! Hiki ni chombo kilichodharauliwa na kilichopasuka? Je, Konia ni chombo kilichodharauliwa? Kwa nini wamemtupa yeye na wazao wake, kumpeleka katika nchi wasiyoijua?