sw_jer_text_reg/22/11.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 11 Maana Bwana asema hivi juu ya Yehoahazi, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, aliyekuwa mfalme badala ya Yosia babaye, 'ametoka mahali hapa, wala hatarudi. \v 12 Atakufa huko mahali ambapo walimchukua mateka, na hataiona tena nchi hii.'