1 line
298 B
Plaintext
1 line
298 B
Plaintext
\v 11 Kisha BWANA akanena na mimi, "Israeli muasi amekuwa mwenye haki zaidi kuliko Yuda muasi! \v 12 Nenda ukaseme maneno haya huko kaskazini. Uwaambie, 'Rudi wewe Israeli uliyeasi! - asema BWANA - sitakuwa na hasira dhidi yako. Kwa kuwa mimi ni mwaminifu - asema BWANA - sitakuwa na hasira milele. |