sw_jer_text_reg/07/08.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 8 Tazama! Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii. \v 9 Je, mnaiba. mnaua, manafanya uzinzi? na mnaapa kwa uongo na kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambao hamkuwajua? \v 10 Je, mnakuja na kusimama mbele yangu katika nyumba hii ambapo jina langu linatangazwa na kusema, "Tumeokoka." hivyo mnaweza kufanya machukizo yote haya? \v 11 Je, hii ndiyo nyumba inayobeba jina langu, pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu? Lakini tazama, Nimeiona - BWANA asema.'
=======
\v 8 Tazama! Mnatumainia maneno ya uongo ambayo hayawasaidii. \v 9 Je, mnaiba. mnaua, mnafanya uzinzi? na mnaapa kwa uongo na kufukiza uvumba kwa Baali na kwenda kwa miungu mingine ambao hamkuwajua? \v 10 Je, mnakuja na kusimama mbele yangu katika nyumba hii ambapo jina langu linatangazwa na kusema, "Tumeokoka." hivyo mnaweza kufanya machukizo yote haya? \v 11 Je, hii ndiyo nyumba inayobeba jina langu, pango la wanyang'anyi mbele ya macho yenu? Lakini tazama, Nimeiona - asema Bwana.'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113