sw_jer_text_reg/51/59.txt

6 lines
845 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 59 Hili ndilo neno ambalo Yeremia nabii alimwamru Seraya mwana wa Neria mwana wa Makseya alipokwenda na Sedekia mfalme wa Yuda huko Babeli katika mwaka wa nne wa kutawala kwake. Basi Seraya alikuwa afsa mwandamizi. \v 60 Maana Yeremia alikuwa ameandika katika gombo kuhusu madhara yote yaliyokuwa yakienda kutendeka juu ya Babeli--maneno haya yote yaliyokuwa yameandikwa juu ya Babeli.
=======
\v 59 Hili ndilo neno Yeremia nabii alilomwamuru Seraya mwana wa Neria mwana wa Makseya alipokwenda na Sedekia mfalme wa Yuda huko Babeli katika mwaka wa nne wa kutawala kwake. Basi Seraya alikuwa afisa mwandamizi. \v 60 Maana Yeremia alikuwa ameandika katika gombo kuhusu madhara yote yaliyokuwa yakienda kutendeka juu ya Babeli - maneno haya yote yaliyokuwa yameandikwa juu ya Babeli
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113