sw_jer_text_reg/51/54.txt

6 lines
896 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana waharibuo wamekuja kinyume chake--kinyume cha Babeli!--na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza malipizi haya.
=======
\v 54 Kelele ya maangamizi ilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kuisha. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113