sw_jer_text_reg/51/33.txt

6 lines
435 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 33 Maana Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria. Ni muda wa kumkanyagia chini. Ni kitambo kidogo wakati wa mavuno utakuja juu yake.
=======
\v 33 Maana Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria. Ni muda wa kumkanyaga. Ni kitambo kidogo wakati wa mavuno utakuja juu yake.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113