sw_jer_text_reg/51/27.txt

6 lines
680 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 Inua bendela ya ishara ya vita juu ya nchi. Piga tarumbeta katika mataifa. Yaite mataifa yamshambuliye: Ararati, Mini na Ashkenazi. Teua majemedari wa kumshambulia; leta farasi kama nzige warukao. \v 28 Waandae mataifa kumshambulia: wafalme wa Umedi na magavana wao, maafsa wake wote na nchi yake yote.
=======
\v 27 Inua bendera ya vita juu ya nchi. Piga tarumbeta katika mataifa. Yaite mataifa yamshambuliye: Ararati, Mini na Ashkenazi. Teua majemedari wa kumshambulia; leta farasi kama nzige warukao. \v 28 Waandae mataifa kumshambulia: wafalme wa Wamedi na magavana wao, maafisa wake wote na nchi yake yote.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113