6 lines
598 B
Plaintext
6 lines
598 B
Plaintext
<<<<<<< HEAD
|
|
\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamei. \v 2 Nitatuma wageni Babeli. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara.
|
|
=======
|
|
\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamai. \v 2 Nitawatuma Babeli wageni. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara.
|
|
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|