sw_jer_text_reg/48/38.txt

6 lines
782 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 38 Maombolezo yapo kila mahali, juu ya kila paa la nyumba ya Moabu na katika masoko ya Moabu. Kwa maana nimeivunja Moabu kama chungu kisichotakiwa tena--asema Yahwe. \v 39 Kimeharibiwa kwa jinsi gani! Kwa jinsi wanavyopiga kelele katika maombolezo yao! Moabu ameigeuzia kisogo kwa aibu! Hivyo Moabu atakuwa kitu cha kuchekwa na kitisho kwa wote wanaomzunguka."
=======
\v 38 Maombolezo yapo kila mahali, juu ya kila paa la nyumba ya Moabu na katika masoko ya Moabu. Kwa maana nimeivunja Moabu kama chungu kisichotakiwa tena - asema Yahwe. \v 39 Jinsi gani imeharibiwa! Jinsi wanavyopiga kelele katika maombolezo yao! Moabu ameigeuza kwa aibu! Hivyo Moabu atakuwa kitu cha kuchekwa na kitisho kwa wote wanaomzunguka."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113